Breaking News
recent

MTOTO WA PAUL WALKER AISHITAKI KAMPUNi YA MAGARI YA "PORSHE" KWA KUCHANGIA KIFO CHA BABA YAKE.

Binti wa Mwigizaji aliyetutoka miaka kadhaa iliyopita,Paul Walker ameifungulia mashitaka kampuni ya magari ya PORSHE kwa madai kuwa imesababisha kifo cha baba yake.Meadow Walker mwenye miaka 16 pamoja na wanasheria wake wamefanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali hiyo,utafiti unaonyesha Paul hakufariki mara moja baada ya ajali kutokea alikuwa akihangaika kutoka kwenye siti na hatimaye mauti yakamfikia,mwanasheria ea Meadow anadai kuwa gari hilo halijatengenezwa kiusalama ndio maana Paul alishindwa kutoka baada ya kunasa kwenye siti,kama siti za gari hilo zingetengenezwa vizuri huenda leo hii tungekuwa bado na marehemu Paul walker. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM).

No comments:

Powered by Blogger.