Mapenzi ya Tyga na kylie Jenner yanazidi kuterereka kila siku,ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu Kylie amwambie Tyga afanye kazi kwa bidii ili awe kama Drake,Tyga hivi karibuni alimwamba mpenzi wake "Stop acting loke Blac chyna',Tyga aliachana na Blac Chyna kutokana na tabia za ex wake huyo,hivyo kitendo cha Tyga kumwambia Kylie aache kuwa kama Blac Chyna inamaanisha msichana huyo ameeanza tabia ambazo Tyga hazipendi na kama akiendelea nazo ingawa anampenda sana hata ona shida kuachana naye. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM).
TYGA AMFANANISHA KYLE NA BLAC CHYNA.
Reviewed by
Unknown
on
03:22
Rating:
5
No comments: