Justin Bieber hivi karibuni alipost video katika mtandao wa Snapchat akiwaonya ONE DIRECTION kuwa albamu yake itakimbiza kuliko ya kwao,albumu zote hizo zinatoka siku moja Nov 13 mwaka huu.
ONE DIRECTION walijibu kwa kumwambia JB asijiamini sana kwa kuwa na wao wameandaa kitu Spesho na wana bonge la Suprise kwa Fans wao,JB na 1D hawana beef lolote lile yaliyosemwa ni maneno tu ya kuongeza ushindani nashauku ya mashabiki wa pande zote mbili kupata hamu ya kusikiliza albamu zote mbili siku ya uzinduzi. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM).
ONE DIRECTION YAMUONYA JUSTIN BIEBER.
Reviewed by
Unknown
on
03:11
Rating:
5
No comments: