MOVIE YA JURRASIC WORLD YAVUNJA REKODI YA MAUZO BOX OFFICE.
Movie Ya JURRASIC PARK IN 3D iliyotengenezwa na mmoja kati ya Maproducer watata Hollywood bwana Stephen spielberg imevunja rekodi ya mauzo duniani.Movie hiyo imeingiza kiasi cha dola za kimarekani bilioni 1.513 Ikiipiku movie ya FAST & FURIOUS 7 ambayo iliingiza kiasi cha dola za kimarekani bilioni 1.512.Movie inayofuatia kwa mauzobaada ya JURRASIC WORLD na FAST & FURIOUS 7 na movie ya THE AVENGERS-AGE OF ULTRON ambayo iliingiza kiasi cha dola za kimarekani bilioni 1.39.JURASSIC WORLD ni remake ya movie za JURRASIC PARK zilizowahi kutengenezea miaka ya nyuma.Ukitoa Movie Ya JURRASIC WORLD Steven Spielberg katengeneza pia movie kama SUPER 8 na ET pia katengeneza series za TERANOVA na FALLEN SKIES.

No comments: