Breaking News
recent

WHAT'S HALLOWEEN, KUNA UMUHIMU AFRIKA KUSHEREKEA?

HISTORIA FUPI

Halloween ama all saints eve ni sherehe inayosherekewa kila mwaka mnamo tarehe 31/10 nisherehe ya wakristu wa magharibi wakisherekea siku ya watu waliokufa kama kuwakumbuka.Sherehe hiyo ni ya kikristu lakini yenye misingi ya kipagani. Ilianza mji wa Samhain uko USA,kwa kawaida sherehe hiyo huambatana na  tricks or treats, kuhudhuria costume parties(sherehe ambazo watu hujivisha uhusika fulani), kupamba nyumba kwa maudhui ya kutisha, kukata maboga katika sura ya mtu (jack-o'-lanterns) na michezo mingine mbalimbali kama kufanyiana utani wa kutisha.
Pia siku hiyo watoto huenda katika nyumba za watu na kuomba treaty ama pipi (candy) ama basi usipowapa hukufanyia a trick. na wazazi na vijana huudhuria katika clubs ama hukaa nyumbani na kuangalia movie za kutisha.Lakini kidini watu huenda makanisani na kuwasha mishumaa katika makabuli ya watu walio kufa.

http://wp.production.patheos.com/blogs/formerlyfundie/files/2015/10/halloween1.jpg

HALLOWEEN AFRIKA

Tangu mnamo mwaka 2010 sherehe hiyo imekuwa ikiwawvutia watu wengi kutoka Afrika kusherekea na haswa zile nchi zilizoendelea kiuchumi kidogo.
hii ni list ya nchi zinazoshelekea halloween Africa
-South Afrika
-Nigeria
-Ghana
-Kenya
-Uganda
-Botswana
-Na nyingine nyingi
kumekuwa na mijadala mingi juu ya sherehe hiyo mfana nchi ya Rwanda ilianza kusherekea sherehe hiyo lakini baadae secta ya michezo na tamaduni ilizuia ikisema sherehe hiyo inaharibu mila na desturi za waruanda, asilimia fulani ya Waluanda hao ilikubaliana na jambo hilo lakini kiasi fulani kilipinga
kijana X anatwit "utasemaje inaharibu mila zetu wakati mila zetu zilishaharibuliwa?"
kiongozi huyo alijibu "kazi yanu ni kulinda mila na tamaduni za wanyaruanda!"
Kijana X "mheshimiwa unapotoka kwako huwa huchani nywele na kunyonga tai? kwani wanyaruanda ni mila zetu kufanya hizo"
Kiongozi "ni utandawazi"


http://archived.thisisafrica.me/data/thumb/abc_media_image/7000/7801/w430.68de7.jpg
wanyaruanda wakiwa tayari kwa halloween


Uchunguzi nilioufanya kwa watu zaidi ya ishirini hasa wale ninaosoma nao mwenyewe na wengine wa mtaani umeonyeha rika ya kwanzia miaka 25 kushuka chini wanaifurahia sherehe hiyo na wanasema wangependa kusherekea Celina anasema "Si kwamba kuharibu utamaduni bali ni kuboresha tu"
Kwa nchi kama ya South Afrika tayari kunamaduka mbalimbali kwa ajili ya kununua costumes na hata mapambo ya halloween

http://thisisafrica.me/wp-content/uploads/sites/4/2014/10/Halloween-South-Africa.jpg
wasouth wakinunua mapambo kwa ajiri ya halloween


Lakini mghana mmoja asema kama hii sherehe tungeitoa Nigeria tungeiita Juju ikimaanisha kitu kibaya kisichopaswa kufanywa mghana angesema "unataka mimi na mme wangu tuvae kama mashetani alafu kwende kukawagongee watu kukiomba pipi si ntakuwa na wazimu?" kwa sababu kiuharisia waafrika tumelelewa kwamba uchawi ni mbaya afu leo nisheleke basi kwa nini tusiwaambie wachawi waishi tu kama watu wengine lakini eti kwa sababu kimetokea uko nchi za magharibi tumekipokea na tunafurahia.

 QUOTE 
"It seems again that Afrcan progress 
is measured by the extent to 
which it can reproduce a
 western lifestyle - 
by Afro Rebel" 


Mawazo yako ni yapi juu ya sikuku hii ndugu msomaji?



 



No comments:

Powered by Blogger.