ANGALIA TRAILER LA MOVIE YA GOING BONGO.
GOING BONGO ni movie ambayo inahusisha true story kuhusu daktari wa marekani ambaye kwa makosa anajitolea kuja kufanya kazi Tanzania (Bongo)
filamu hii imeshutiwa nchini Marekani mji wa LA na mji wa Dar es Salam pamoja na Arusha.
doctari huyo anaonekana kupata shida sana kufanya kazi Tanzania haswa pale ambapo watanzania wagonjwa wanakosa uaminifu nae pia anapoona vifaa hamna,umeme unakatika na mengi lakini baadae anaadopt na kuona uzuri wa nchi na kujitolea kufanya kazi kwa moyo wote...

luckly kwa wale walio dar movie hii inaonyeshwa siku ya leo cimemax saa 8 na saa 10 mchana fanya nenda kackeki,
Going Bongo the Feature Film
Yeah a movie worth watching...check trailer hili la movie ya kipekee Tanzania,inahusu story ya daktar wa nchini Marekani anajikuta akikubali kuja kufanya kazi Africa bila kutegemea.hapo ndipo anakuja nchini Tanzania na movie inaanza kukolea hapo..kwa sasa Ipo in cinemas,kama kweli unapenda sanaa ya Bongo basi hakikisha unatazama filamu Hii.
No comments: