Breaking News
recent

BEST CHRISTMASS MOVIES.

Sikukuu ya Xmass imekaribia,wengi wangependa kuisherekea watakavyo wao.Wengine wanaweza kwenda beach na wapendwa wao,wengine wataenda kufurahi katika klabu mbali mbali..ila wapo ambao watatulia nyumbani kuangalia movies kama mimi..kama wewe ni mmoja wa watu hao usijali nakuletea list ya movies nzuri za xmass,hapo chini tumezionesha tu na hatujaielezeea hata moja kwa kuwa zipo nyingi sana,ila mimi binafsi naikubali movie ya HOME ALONE ya Macaulay Culkin na JINGLE ALL THE WAY ya Arnold Shwarzenegger.Movies hizo ni.....

JINGLE ALL THE WAY

THE NIGHT BEFORE

FOUR CHRISTMASES

FRED CLAUS

LOVE ACTUALLY

DIE HARD

HOME ALONE

A CHRISTMAS CAROL

CATCH ME..IF YOU CAN

ARTHUR CHRISTMAS

BATMAN RETURNS

JACK FROST

THE SANTA CLAUSE

HOME FOR THE HOLIDAYS

A VERY HAROLD AND KUMAR 3D CHRISTMAS

ALVIN AND THE  CHIPMUNKS

BAD SANTA

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

No comments:

Powered by Blogger.