MAD MAX FURY ROAD BEST ACTION MOVIE OF THE YEAR 2015



At the moment Mad max furry road imekuwa named as best action movie of the year
na kiukweli personal i think ni kweli sababu kwnza mimi huwa si mpenzi wa action movies lakini this one kwanza tu inapoanza mmmh nikapenda yani jamaa anakula mjusi dah...

mad max furry road ikiwa imedirectiwa na one of the best director George Miller ambaye alisha shinda Oscar award 1 director huyu wa Australia pia amefanya movie nyingine kali kama Happy Feet (2006) ,Mad Max (1979) na nyingine nyingi.
movie hii ikiwa na cast ya mastaa kama Tom Hardy, Charlize Theron, Nicholas Hoult na wengine imekuwa na ujumbe mkubwa sana na ikitry kuonyeha effects za nukria weapons ambapo kwenye movie inaonyesha kuwa imeharibu kila kitu na kufanya maisha magumu kuwa magumu sana
THEME YA MOVIE
generally movie hii imechezwa Australia ikionyesha shida pale maji yanapokuwa shida kupatikana kiasi cha watu kuwa monitered sababu ya maji tu pia inaonyesha jinsi nuclear ilivyo alibu mimea na kufanya majangwa katika sehemu kubwa za dunia pia sababu miti hamna inaonyesha jinsi green gasses ambazo zimechanganyika na gases za kinyukilia zilivo zagaaa hadi kufanya hewa ya kawaida kuwa ishu kwa part za kawaida..

MY REASONS WHY THIS MOVIE IS THE BEST
- kwanza movie hii wametry kuchange the normal way of how action movies are most of the action movies ambazo nimeziona huwa hazina uspecial wowote but hii movie imechange kila kitu kuhusu action movie kwanza mazingira tu ni amzingly actional
- lakini inaonyesha ubaguzi wa wanawake haswa wakati wa shida pale inakutana na furiosa amabaye ni mtoto wa jambazi mkuu lakini kuwa akina dada wengine amabao ni kaama wake wa jambazi ambao moja kwa moja wanaonyeshwa kama walikuwa wanateswa na hawana furaha kabisa.

- lakini movie hii inatry kuonyesha what are the most important resourses katika maisha. Maji yanaonyeshwa kuwa ni ya muhimu sana inaonyeshwa jinsi watu wanavyoishi kama wanyama kwa ajili ya maji tu wapo tayari kumuwa wenzio kisa maji tu pia inaonyesha jinsi mimea ilivyo na muhimu kwani bila mimea maji yamekuwa shida na hewa mbaya imetanda kila mahali.

- lakini mostly movie imeonyesha uwezo na hatari kubwa inayoweza kuletwa na utumiaji wa mabomu ya nuclear jinsi yalivyoharibu mandhari na kufanya maisha kuwa magumu sana
- again me nilichopenda sana kwenye hii movie ni special effects eeh bwana mimiyule jamaa aliyekuwa anapiga gitaa nilikuwa namkubali kichizi haswa akianza bwebwe zake na ule utayari wao pia kingine ni magari waliyotumia magari yalikuwa amazingi sana na walivokuwa kwenye mstari ilikuwa inaleta radha sana


all in all mad max furry road ni movie kali na nasuggest kabisa kama hujaiona tafuta ama watch online bonya hapa angalia now
SIKILIZA SOUND TRACK KUTOKA KWENYE MAD MAX FURY ROAD
No comments: