MAMBO YALIYOIFANYA MOVIE YA 'DEADPOOL' KUKUBALIWA NA WADAU WA FILAMU DUNIANI.
Unapoongelea movie zilizofanya vizuri kwa mwaka huu huwezi ukaisahau movie ya DEADPOOL,Movie hii iliyoigizwa na mwigizaji mzoefu wa movie za action na drama bwana Ryan Reynolds.Ryan Reynolds kafanya movie nyingi sana Hollywood baadhi ni kama THE PROPOSAL akiwa na mwanadada Sandra Bullock,Pia kafanya movie kama GREEN LANTERN na SELFLESS pamoja na nyingine nyingi zilizompaisha Hollywood.Lakini kwa mtazamo wangu naona katika movie zote alizocheza movie aliyoitendea haki ni hii ya DEADPOOL.Director wa movie ya BATMAN-DARK KNIGHT RISES bwana christopher Nolan aliwahi sema maneno haya ''every film should have its own world,a logic and feel that expand beyond the exact image that the audience is seeing'' kwa mtazamo naona DEADPOOL imefaulu katika hilo ni tofauti na movie za ki-superheroes nyingi tulizozizoea,DEADPOOL ina ladha ya kipekee siku ya kwanza naiona nilifurahi sana ni movie ambayo huwezi ukaiangalia zaidi ya dakika mbili bila kucheka.Yafuatayo ni mambo yaliyoifanya movie ya DEADPOOL kukubaliwa na mashabiki na kufanya vizuri kwenye BOX OFFICE ikiwa tayari imeingiza dola za kimarekani zaidi ya Milioni 600;
1;RYAN REYNOLDS; Ryan Reynolds ndiye mwigizaji aliyepewa nafasi kuuvaa uhusika mkuu katika filamu hii,kwa mtazamo wangu alikuwa the right guy for the job,Kashafanya movie nyingi za comedy and action na movie ya DEADPOOL ime-combine vyote viwili,Ryan alifanya vizuri kwenye movie ya action ya SELFLESS pia akafanya vizuri katika drama and comedy mopvie ya THE PROPOSAL,hivyo basi akaweza kuuvaa uhusika wake vizuri hatimaye kuwafurahisha watazamaji.
2;SCRIPT YA MOVIE,ukiiangalia movie ya DEADPOOL utagundua haina stori ya ajabu sana,stori yake n ya kawaida tu kama movie nyingine za ma-superheroes ila uzuri wa DEADPOOL ni mpangilio wa script aliyeandika script ya movie hii katisha sana.Kila mara Ryan Reynolds au Wade Wilson [ambalo ndio jina alilolitumia katika movie hii]akionekana kwenye screen watazamaji wanafurahi hii ni kutokana na maneno yake ya kufurahisha,aliyeandika script kajitahidi kuzifanya ziwe catchy na kufurahisha watazamaji.
3;KUREKEBISHA MAKOSA ALIYOYAFANYA KWENYE 'GREEN LANTERN;Ryan Reynolds alikuwa na hamu sana ya kurekebisha makosa aliyoyafanya katika movie ya GREEN LANTERN,Movie hiyo ilitoka mnamo mwaka 2010 ikitengenezwa na kampuni ya DC COMICS,haikupokelewa vizuri sana na mashabiki wa movie,lakini movie hii ya DEADPOOL aliyoifanya na kampuni ya MARVEL imerekebisha makosa na watu wameikubali.Ryan ametuma movie hii kama second chance baada ya kuboronga kwa GREEN LANTERN.
4;SENSE OF HUMOUR; Ryan Reynolds alijitahidi kuwafurahisha watazamaji kutokana na maneno na vitendo vyake vya kufurahisha,kuna muda ukiwa unatazama movie ya DEADPOOL unajisahau kabisa kuwa ni action na kudhani ni comedy,hii ni kwasababu inafurahisha sana hata action zake zinafurahisha pia tofauti na movie nyingine kama BATMAN,SUPERMAN na nyinginezo za ma-supeheroes,,movie ambazo characters wake hawana sense of humour,movie ambayo kidogo characters wake wana sense of humour ni ANTMAN.
5;MAANDALIZI YA KUTOSHA;Movie ya DEADPOOL haijaanza kutengenezwa leo wala jana,toka mwaka 2004 Ryan Reynolds alikuwa na mpango wa kufanya movie hii,lakini hakufanikiwa kutokana na vikwazo mbali mbali that's why alipofanikiwa kutengeneza movie hii mwaka jana [2015],akaitendea haki vilivyo na alipomaliza kufanya movie hii alisema i have waited years to do this movie,am keeping the suit'', bonge la movie toka MARVEL,bonge la movie toka kwa Ryan Reynolds na mark my words DEADPOOL itazoa tuzo nyingi sana mwaka huu,kwani hadi sasa imeshakuwa nominated katika vipengele kadhaa katika tuzo za MTV MOVIE AWRDS 2016......tchaoo stay tuned for our upcoming posts.

No comments: