Movie ya FAST & FURIOUS 8 ambayo inatarajiwa kutoka tarehe 17,April 2017 imemtangaza director mpya wa movie hiyo.Director mpya ni F.Gary Gray ambaye ndiye alikuwa Director wa movie ya "STRAIGHT OUTTA COMPTON".

Mashabiki wengi Pia walikuwa wana shauku kutaka kujua movie hiyo itachezwa wapi,awali kulikuwa na tetesi kuwa itachezea Nchini Misri barani Africa.Ludacris alipost picha Istagram akiwa maeneo ya New York Na katika caption aliandika kuwa yupo katika set ya FF8" Hivyo kwa sasa tunajua movie itaanzia New york lakini location nyingine bado hazijajulikana!!
DIRECTOR WA "FAST & FURIOUS 8" ATANGAZWA.
Reviewed by
Unknown
on
00:16
Rating:
5
No comments: