Breaking News
recent

HAPPY BIRTHDAY KIM, HAPPY 35 YEARS

Ni tareha 21/08 Kim kardashian ama kwa jina maarufu au la utani anajulikana kama queen of reality show amefikisha miaka 35 siku ya leo na ni mategemeo yetu mme wake Kanye West amemwandalia zawadi kubwa ambayo wote tunasubili kwa hamu kuijua..

Kim Kardashian Birthday 

ni vigumu kuamini ni mwaka tu tangu kanye alipomsuprise mpenzi wake kim katika trip ya kwenda kisiwa cha Hawaii ambapo alipropose na ndio maana tuna shauku sana kujua yeez kamwandalia nini mke wake kama ni jewel ama mauwa sisi hatufahamu

Ni kitu cha kawaida kwamba kim alikuwa na mwaka mzuri sana after all yeye ni kardashian ambapo hii humaanisha photoshoots,fashion,magazine covers,trips na mengine mengi lakini bila kusahau suprise kubwa aliyowafanyia fans wake ya mtoto wa pili.

Ambapo haikumchukua mda kim kuandika twit iliyowagusa fans wake na mme wake akimsifu yeez kuwa ni mme mzuri na wakifurahi sana baada ya kupata habari mtoto wao atakuwa wa kiume.

Ni jambo la ufurahisha kwa watu ambapo kim hujitahidi sana kuishi maisha ya kawaida akiwa nyumbani lakini nje ya nyumba umaarufu wake umwzidi kukuwa sana na campuni yao ya KUWTK star imezindua apprication mpya launched a new website and app ambayo imemwingiza baba yao ambaye amejibadilisha kuwa mwanamke, wamefanya hivyo ili kuweza kuwafanya fans wao wapate habari zao kwa haraka zaidi na kwa urahisi.

ukweli ni kuna vitu vngi vya kutegemea kutoka kwa star huyu happy birthday kim


No comments:

Powered by Blogger.