LUPITA NYONG'O MKENYA WA KWANZA KUSHINDA OSCAR (BIOGRAPHY)
Lupita ni actor pia ni director aliyezaliwa Mexico mnamo tarehe 1/03/1983 lakini alilelewa kenya ambapo baadae alienda chuo nchini Marekani ambapo alipata degree yake ya kwanza katika uchezaji wa filamu katika chuo cha Hampshire College.

Lupita alianza kazi kama assistant katika kampuni nyingi na tofauti tofauti za filamu Hollywood mwaka 2008
ambapo alipata nafasi ya kucheza katika filamu yake ya kwanza East River lakini baada ya hapo alirudi nchini kenya ambapo alianzisha igizo la televisheni lililoitwa Shuga mwaka 2009. ambapo mwaka huo huo alidirect na kuproduce documentary iliyoitwa In My Genes.
Lakini mnamo mwaka 2012 Lupita alimaliza degree yake ya pili katika sanaa ya maigizo katika chuo cha Yale School of Drama. Ambapo alipata nafasi ya kucheza katika filamu ya kihistoria 12 Years a Slave. movie hiyo iliyompa umaarufu sana kama hadi kushinda Oscar for Academy Award for Best Supporting Actress. kitu kicho kilimfanya awe mwanamke wa kwanza kenya kushinda Academy Award. ambapo haijahishia hapo lakini mnamo mwaka 2014 alipewa tuzo za mwanamke mzuri na tuzo za mwanamke wa mwaka .
Pia mwaka huu lupita ametokea katika magazeti mbalimbali ya nchi za marekani iliyomfanya awe the talk on every mouth USA

No comments: