Ilikuwa mwaka 2010 wakati huo nilikuwa Form 2' nakumbuka nilikuwa
natumia simu flani ya Tecno mchina Niliingia zangu WAPTRICK nikaingia
kwenye option ya "most downloaded" ndipo nikakuta nyimbo ya mdada huyu
"Lenka Kripac" kutoka Australia' niliikuta nyimbo yake inayoitwa
"everythin at once" nikai-download ndipo nilipoanza kumkubali na
kuukubali mziki wake Na nikawa mmoja wa shabiki wake mkubwa' Lenka sio
maarufu sana kama Rihanna' Beyonce' Nick Minaj' Ariana Glande' Taylor
swift au Katty Perry' Hata katika mitandao ya kijamii Lenka hana
mashabiki wengi' kwa mfano katika instagram Lenka hajafikisha followers
hata 10 k' Lakini hiyo haimaanish kuwa Lenka hajui muziki ANAJUA tena
sana' Lenka ni Mwimbaji na pia mwigizaji Alionekana katika movie ya THE
LOST THINGS na pia nyimbo zake zilitumika kama sound-track katika movie
ya THE PANIC ROOM' Album yake ya kwanza Lenka aliitoa mwaka 2008 ilikuwa
inaitwa 'THE SHOW" na ikashika namba 142 katika "BILLBOARD 200" nyimbo
yake ya "everything at once" ilitumika kwenye kutangaza, WINDOWS 8. Na
pia ilitumika katika matangazo ya movie za Disney.Lenka anasifika kwa
upekee wa video zake anatengenezewa na James Guillveer Hancock ambaye ni
prodyuza na mumu wake pia.Humjui Lenka? anza kumsikiliza leo.
MJUE LENKA (ASIYEVUMA LAKINI YUMO).
Reviewed by Unknown
on
02:15
Rating: 5
No comments: